TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imekutana leo tarehe 13/12/2016 jijini Dar es salaam kwa kikao cha siku moja cha kawaida. Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli. Pamoja na mambo mengine, Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imepokea taarifa ya Tathimini ya Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, baada ya kuitafakari taarifa hiyo, Halmashauri Kuu imeamua yafuatayo;-
1. Kupunguza idadi ya wajumbe wa vikao na idadi ya vikao vya Chama katika ngazi mbalimbali ili kuongeza ufanisi wa utendaji wa Chama na kuongeza muda wa viongozi wa Chama kufanya kazi za Chama kwa Umma badala ya kutumia muda mwingi vikaoni.
Ili kuwa na vikao vya Chama vyenye tija imeamuliwa kama ifuatavyo:- a). Halmashauri Kuu ya Taifa kwa sasa ina jumla ya wajumbe 388 idadi ambayo ni kubwa sana, hivyo imeamuliwa idadi hii ipunguzwe na kuwa wajumbe 158 kama ifuatavyo:-
Wenyeviti wa Mikoa
Mikoa ya Bara 26×1 = 26
Mikoa ya Zanzibar 6×1 = 6
Wajumbe wa NEC wa Mikoa
Mikoa ya Bara 26×1 = 26
Mikoa ya Zanzibar 6×4 = 24
Wajumbe wa NEC wa Taifa
Kutoka Bara = 15
Kutoka Zanzibar = 15
Nafasi za Mwenyekiti = 7
Wajumbe wa NEC wa Jumuiya
UVCCM = 5
UWT = 5
WAZAZI = 5
Wajumbe wa NEC kutoka Bungeni = 5
Katibu wa Kamati ya Wabunge wa CCM = 1
Wajumbe wa NEC kutoka BLW = 3
Katibu wa Kamati ya Wawakilishi = 1
Wajumbe wa NEC – wanaotokana na Nyadhifa zao
– Mwenyekiti wa CCM = 1
– Makamu Mwenyekiti (B) = 1
-Makamu Mwenyekiti (Z) = 1
– Makamu wa Rais = 1
– Waziri Mkuu = 1
– Makamu wa Pili wa Rais (Z) = 1
– Spika wa Bunge = 1
– Spika wa BLW = 1
– Mwenyekiti wa UWT = 1
– Mwenyekiti wa WAZAZI = 1
-Mwenyekiti wa UVCCM = 1
– Katibu Mkuu – WAZAZI = 1
– Katibu Mkuu – UWT = 1
– Katibu Mkuu – UVCCM = 1
Jumla: 158
#. Vikao vya kawaida vya Halmashauri Kuu ya Taifa vifanyike kila baada ya miezi sita badala ya miezi minne kama ilivyo sasa isipokuwa vinaweza kufanyika vikao maalum inapohitajika.
b). Kwa upande wa sasa imeamuliwa wajumbe wa Kamati Kuu wawe 24 badala ya 34 kama ifuatavyo:-
Mwenyekiti wa CCM.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar)
Makamu wa Rais
Katibu Mkuu wa CCM
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara)
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar)
Waziri Mkuu
Makamu wa Pili wa Rais (Z)
Spika wa Bunge la Tanzania
Spika wa BWL
Mwenyekiti wa WAZAZI
Mwenyekiti wa UWT
Mwenyekiti wa UVCCM
Katibu wa wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Organaizesheni
Katibu wa wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Itikadi na Uenezi
Katibu wa wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Uchumi na Fedha
Katibu wa wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa
Wajumbe watatu (3) wa kuchaguliwa na Halmashauri Kuu kutoka Tanzania

Add caption |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni