ZITTO KABWE KUMSAIDIA DR SLAA
zikiwa zimepita siku chache baada ya dr slaa kutoka hadharani mbele ya wandishi wa habari na kuelezea juu ya msimamo wake kwa ukawa na mgombea urais kupitia ukawa na kutoa tuhuma nzinto ambazo zimezua mijadara na sintofahamu kwa wanachama wa chadema, hatimaye kiongozi wa chama cha ACT WAZARENDO ndugu zitto kabwe ameandika katika ukurasa wake wa facebook kuwa atatoka hadharani na kuendelea kusema alichokisema dr slaa, zitto amayaandika hayo baada ya viongozi wa chadema kumshambulia dr slaa na kumtaka kuacha kuupotosha umma.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni