Ofisi ya rais wa zamani wa Marekani
Barack Obama imetoa tamko na kusema kwamba raisi huyo wa zamani
anakerwa na maandamano yanayoendelea nchini humo kupinga tamko la raisi
Donald Trump kutaka kuweka vizuizi vya uhamiaji juu ya wasafiri
kutoka kwa baadhi ya nchi za Kiislamu.
Msemaji wa rais Barack
Obama, Kevin Lewis, amesema kwamba raisi mstaafu kimsingi hakukubaliana
na wazo la ubaguzi dhidi ya watu kwa sababu ya dini yao.Na kuongeza kusema kwamba wananchi wanatumia haki yao ya kikatiba ya kusikilizwa na viongozi waliochaguliwa na ndiyo matarajio yao pindi Marekani inaingia hatarini .
www.sangija64blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni