Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa
Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela na Katibu Tawala wa mkoa huo
kwa kutoa taarifa za uongo kuwa mkoa huo hauna watumishi hewa baada ya
tume nyingine kuchunguza na kubaini uwepo wa watumishi hewa 45
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni