UTEUZI:
Rais John Magufuli amemteua Waziri Mkuu Mstaafu wa awamu ya 4, Mizengo
Pinda kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania(OUT).
- Uteuzi huu
unafuatia baada ya aliyekuwa mkuu wa chuo hicho Bi. Asha-Rose Migiro
kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni