Baada ya kumtimua mkuu wa mkoa wa Shinyanga rais Magufuli amesema
"Mawaziri wengine nasikia wanalalamika kweli khs kukatwa kwa fedha za
matumizi mengineyo kny kila wizara kwenye bajeti ya serikali ya mwaka
ujao wa fedha,sasa nimetuma watu kuwarekodi kwa sababu mind set zao bado
hazijabadilika,wanafikiri watu bado tuko kny trend hiyohiyo.Wasomi ni
wengi unaweza ukawateua leo na kesho ukawabadilisha ili mradi twende
kwenye trend ninayoitaka
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni