• Breaking News

    NEVER SAY NEVER

    chief kamchicha

    chief kamchicha

    Alhamisi, 7 Aprili 2016

    TANZIA DADA WA TUNDU LISSU NA ALIYEKUWA MMBUNGE VITI MAALUMU. AAGA DUNIA.


    #TANZIA Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Mhe. Christina Lissu Mughwai (ambaye ni dada wa Tundu Lissu) amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa Cancer tangu mwaka jana.

    Hakuna maoni:

    Chapisha Maoni

    Fashion

    Beauty

    Travel