Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi wa Jiji Dar, Wilson Kabwe kwa ubadhirifu katika mfumo wa ukusanyaji mapato stendi ya Ubungo.
-Pia Rais amependekeza Daraja la Kigamboni liitwe 'Daraja la Nyerere' kwa heshima ya Baba wa Taifa.
NEVER SAY NEVER
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni