Lady Jaydee kuzungumzia maneno ya Gadner Kesho
Siku 14 tangu Mtangazaji wa Clouds Fm Gardner Habash kudaiwa kutoa
lugha ya udhalilishaji dhidi ya aliyekuwa mke wake Judith Wambura,
mwanamuziki huyo maarufu kwa jina la Lady Jaydee, amesema kesho
anatarajia kutoa tamko rasmi kuhusu suala hilo.
“Nipo katika
maandalizi ya tamasha langu ndiyo maana ilikuwa vigumu kwangu
kulizungumzia hili, Jumatatu nitatoa tamko,” alisema Jaydee.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni