PINDA MKUU WA CHUO HURIA TANZANIA. chief kamchicha 09:08:00UTEUZI: Rais John Magufuli amemteua Waziri Mkuu Mstaafu wa awamu ya 4, Mizengo Pinda kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania(OUT). - Uteu... Read more Hakuna maoni:
bodi ya TCU yavunjwa na waziri wa elimu. chief kamchicha 08:43:00Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako, ameivunja Bodi ya Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) kufuatia kupitisha majina ya wanafunzi 486 wasio na sifa ya k... Read more Hakuna maoni:
"USIGOMBANE NA ZITTO NI HATARI MNO" NA LUQMAN MALOTO chief kamchicha 13:18:00 UNAMKUMBUKA Mudhihir Mudhihir? Yule alikuwa Mbunge wa Jimbo la Mchinga (CCM), aliyepata pia kuwa naibu waziri wakati wa Serikali ya Awamu ... Read more Hakuna maoni:
MAALIM SEIF KUHOJIWA NA POLISI chief kamchicha 03:22:00Jeshi la Polisi Zanzibar litamhoji Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad Ijumaa ya wiki hii kuhusu masuala mbalimbali -Naibu Mkuru... Read more Hakuna maoni:
TRUMP AWEZA KUUZA MJENGO MMOJA KATI YA HII KUFADHIRI KAMPENI ZAKE. chief kamchicha 23:39:00 Mgombea Urais nchini Marekani Donald Trump amesema anaweza ‘kuuza jengo’ ili kusaidia mfuko wa kampeni yake ambayo inaweza kugharimu dola... Read more Hakuna maoni:
RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MPYA LEO. chief kamchicha 09:49:00 May 23 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi wawili wa serikali, taarifa iliyotolew... Read more Hakuna maoni:
MAREKANI YAMTUNUKU MTANZANIA NISHANI YA ULIPUAJI BORA WA MIZINGA. chief kamchicha 06:58:00Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Marekani, Darrly Williams amemtunuku Meja Jenerali James Mwakibolwa nishani ya ulipuaji bora wa mizinga. -Nish... Read more Hakuna maoni:
WAZIRI MKUU AFAFANUA KUHUSU KUTENGULIWA KWA UTEUZI WA WAZIRI KITWANGA chief kamchicha 04:15:00WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema uamuzi wa Rais Dk. John Pombe Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Bw. Charles Kitwan... Read more Hakuna maoni:
WAZIRI KITWANGA AWA WAZIRI WA KWANZA KUTUMBULIWA. chief kamchicha 13:32:00Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atumbuliwa jipu baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa Read more Hakuna maoni:
CHIEF KAMCHICHA: HILI NDILO AZIMIO LA TABORA LA ACT WAZARENDO. chief kamchicha 12:52:00CHIEF KAMCHICHA: HILI NDILO AZIMIO LA TABORA LA ACT WAZARENDO. Read more Hakuna maoni:
CHIEF KAMCHICHA: HILI NDILO AZIMIO LA TABORA LA ACT WAZARENDO. chief kamchicha 12:52:00CHIEF KAMCHICHA: HILI NDILO AZIMIO LA TABORA LA ACT WAZARENDO. Read more Hakuna maoni:
CHIEF KAMCHICHA: HILI NDILO AZIMIO LA TABORA LA ACT WAZARENDO. chief kamchicha 12:52:00CHIEF KAMCHICHA: HILI NDILO AZIMIO LA TABORA LA ACT WAZARENDO. Read more Hakuna maoni:
HILI NDILO AZIMIO LA TABORA LA ACT WAZARENDO. chief kamchicha 12:27:00 Kwa kifupi Azimio la Tabora ni huisho la Azimio la Arusha, ambao ni msingi mkubwa katika siasa za nchi yetu. Azimio la Tabora ni msingi wa... Read more Hakuna maoni:
MUSEVENI AMPANDISHA MWANAWE CHEO JESHINI. chief kamchicha 01:04:00Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amempandisha cheo mwanaye na kufikia ngazi ya Meja Jenerali. Muhoozi Kainerugaba anatambulika kama mtu mwe... Read more Hakuna maoni:
ZOMBE TENA...... chief kamchicha 01:51:00Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amemuondolea kosa la mauaji aliyekuwa mkuu wa upelelezi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abdallah Zombe na sasa inat... Read more Hakuna maoni:
KENYA YAPATA PIGO LINGINE, BAADA YA BOMBA LA MAFUTA, SASA RELI. chief kamchicha 01:38:00 Rwanda imetangaza kuwa itajenga njia ya reli ya kisasa aina ya SGR kupitia Tanzania badala ya Kenya ikisema kuwa njia ya Tanzania itah... Read more Hakuna maoni:
Kizza Besigye kuhukumiwa kifo nchini Uganda? chief kamchicha 21:05:00Aliyekuwa kiongozi Mkuu wa Upinzani katika uchaguzi mkuu nchini Uganda huenda akahukumiwa kifo kama akikutwa na hatia ya mashtaka yanayomk... Read more Hakuna maoni:
LADYJAYDEE KUTUMBUA JIPU LA GADNER KESHO. chief kamchicha 11:25:00Lady Jaydee kuzungumzia maneno ya Gadner Kesho Siku 14 tangu Mtangazaji wa Clouds Fm Gardner Habash kudaiwa kutoa lugha ya udhalilishaji... Read more Hakuna maoni: