Waziri
wa Elimu Prof. Ndalichako, ameivunja Bodi ya Tume ya Vyuo Vikuu (TCU)
kufuatia kupitisha majina ya wanafunzi 486 wasio na sifa ya kusomea
Shahada ya Elimu
- Pia Waziri amewasimamisha kazi Maafisa kadhaa waandamizi wa TCU kwa kushindwa kusimamia na kutekeleza vyema wajibu wa TCU.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni