Mkurugenzi
wa Mashtaka (DPP) amemuondolea kosa la mauaji aliyekuwa mkuu wa
upelelezi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abdallah Zombe na sasa inataka ajibu
mashtaka ya kuficha wahalifu.
-DPP ameitaka Mahakama imtie
hatiani kwa kosa la kuwalinda wahalifu ambao walitenda kosa la mauaji ya
wafanyabiashara na dereva wa teksi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni