Mnadhimu
Mkuu wa Jeshi la Marekani, Darrly Williams amemtunuku Meja Jenerali
James Mwakibolwa nishani ya ulipuaji bora wa mizinga.
-Nishani
hiyo ambayo imekuwa ikitolewa na Rais wa Marekani, alitunukiwa Meja
Jenerali Mwakibolwa baada ya kuwa mstari wa mbele kurudisha amani kwenye
nchi zinazokabiliwa na vita barani Afrika.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni