Jeshi la Polisi Zanzibar litamhoji Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad Ijumaa ya wiki hii kuhusu masuala mbalimbali
-Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Zanzibar, Salum
Msangi amesema kuna masuala mengi ambayo ofisi yake inahitaji kuyafahamu
kutoka kwa Maalim Seif.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni