Mgombea
Urais nchini Marekani Donald Trump amesema anaweza ‘kuuza jengo’ ili
kusaidia mfuko wa kampeni yake ambayo inaweza kugharimu dola billioni
1.
Mwanzoni
hakuwa na wazo la kufadhili msimu ujao wa kampeni kwa kuuza mjengo au
mali isiyoamishika lakini mabadiliko hayo yamekuja baada ya ripoti ya
baadhi wafadhili wakubwa GOP huenda wakajitoa kwenye mbio hizo.
Trump aliiambia Fox kwamba…….>>> ‘Ninaweza kufadhili mabilioni ya dola kwa kuuza jengo, nina uchaguzi wa kufanya hivyo’.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni