TRA imemtaka Profesa Tibaijuka kulipa zaidi ya Sh. milioni 500 kutoka katika mgawo wa Sh. 1.62 bilioni zinazohusishwa na fedha zilizochotwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow
-Amepinga madai hayo na kukata rufaa kupinga TRA kumtaka alipe kiasi hicho cha kodi, adai hajawahi kupokea fedha hizo kutoka kwa James Rugemalira.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni