Ikulu
imevunja ukimya kuhusu ile sinema ya kuahirishwa mfululizo kwa uchaguzi
wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam kwa kusema haitaona tatizo lolote
iwapo Halmashauri hiyo itaongozwa na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba
ya Wananchi (Ukawa). Hayo yalisemwa jana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Ombeni Sefue
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni