Walimu 8 wa Shule ya Sekondari Mihama Wilayani Ilemela Mkoani Mwanza, wakamatwa kwa tuhuma za kujihusisha na mapenzi na wanafunzi.
-Tume maalumu ya uchunguzi iliyoundwa na mkuu wa Mkoa wa Mwanza imebaini walimu hao kujihusisha na mahusiano ya mapenzi na baadhi ya wanafunzi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni