Mtaliano anaweza kuingia matatani kama makamba na dada yake wataenda mahakamani, mtaliano anajiweka matatani zaidi anapodaia hadharani kuwa aliwakatia pesa ili awezeshwe kupewa tenda ya ujenzi, akijuwa wazi ni rushwa na rushwa ni adui wa haki, kwa vile mtaliano hakuripoti hii rushwa wakati ule kwasasa atakuwa na hatia kwa kutoa rushwa, adhabu yake haiwezi kupunguwa miaka 40 na ushee hivi.
Watanzania lazima tuwe makini zaidi, hii story ya makamba na mtaliano
ni kama vile mnaachana na mpenzi wako unakwenda kudai zawadi ulizowahi
kumununulia wakati wa mapenzi mototo.
Mwisho naomba takukuru wamkamate mtaliano huyu ili atoe ushahidi zaidi kwa sababu kutomkamata ni dalili ya jipu lingine kwenye idara hii.
Mwisho naomba takukuru wamkamate mtaliano huyu ili atoe ushahidi zaidi kwa sababu kutomkamata ni dalili ya jipu lingine kwenye idara hii.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni